✦ Mfumo Namba 1 wa Mialiko Tanzania

Mialiko ya Kifahari na Usimamizi Kamili wa Sherehe Yako

Foras Invite hukupa mialiko ya kidijitali yenye QR code, usimamizi wa wageni, kamati, michango, bajeti na ripoti — vyote mahali pamoja, kwa kifahari.

500+Sherehe Zilizofanikiwa
50K+Wageni Waliohudumiwa
100%QR Check-in
Huduma Zetu

Kila Kitu Unachohitaji kwa Sherehe Kamili

Kutoka mwaliko wa kwanza hadi ripoti ya mwisho — Foras Invite inashughulikia kila hatua ya sherehe yako.

Mialiko ya Kidijitali

Kadi za kifahari zenye jina la mgeni, QR code na namba ya kadi. Tuma kwa WhatsApp au SMS kwa mbofyo mmoja.

QR Check-in Langoni

Thibitisha wageni kwa kamera ya simu. Zuia watu wasioalikwa na pata ripoti ya mahudhurio papo hapo.

Usimamizi wa Kamati

Kamati kuu na ndogo, viongozi, wanachama na majukumu. Kila mtu anajua wajibu wake.

Michango na Ahadi

Rekodi ahadi za wanachama, malipo, na uthibitisho wa risiti. Fuatilia makusanyo dhidi ya lengo.

Bajeti na Matumizi

Panga bajeti kwa kila kamati, rekodi matumizi, na pata idhini (approval) kabla ya kutumia.

Vikao na Kumbukumbu

Panga vikao, tuma vikumbusho, na hifadhi kumbukumbu (minutes) za kila mkutano.

Event Day Center

Dhibiti siku ya tukio moja kwa moja — mahudhurio, wageni, na taarifa muhimu.

Ripoti za Kitaalamu

Ripoti za wageni, RSVP, michango na mahudhurio. Export kwa Excel/PDF.

Inafanya Kazi kwa Simu

Weka kwenye simu kama app (PWA). Scan, angalia ripoti, na dhibiti kila kitu popote ulipo.

Rahisi Kutumia

Hatua 4 Hadi Sherehe Yako Iwe Tayari

Hakuna ujuzi wa kiufundi unaohitajika. Anza leo, tuma mialiko leo.

1

Tengeneza Tukio

Weka jina la harusi, tarehe, mahali na uchague design ya kadi.

2

Ongeza Wageni

Pakia orodha kutoka Excel au ongeza mmoja mmoja. QR itaandaliwa moja kwa moja.

3

Tuma Mialiko

Tuma kwa WhatsApp au SMS. Kila mgeni anapata kadi yake binafsi.

4

Scan Langoni

Siku ya tukio, scan QR kuthibitisha wageni na pata ripoti papo hapo.

Bei na Packages

Chagua Package Inayokufaa

Bei nafuu kwa kila bajeti. Lipa mara moja kwa sherehe yako — hakuna gharama za kificho.

Bronze

Kwa sherehe ndogo

50,000/= TZS
  • Hadi wageni 100
  • Kadi za QR
  • WhatsApp link sharing
  • RSVP na check-in
  • Design 3 za kadi
Chagua Bronze

Platinum

Kwa sherehe kubwa

300,000/= TZS
  • Wageni bila kikomo
  • Kila kitu cha Gold
  • Website maalum ya harusi
  • Event Day Center
  • Support wa haraka 24/7
  • Ripoti kamili + backup
Chagua Platinum
Mfumo Wenyewe

Dashboard ya Kisasa, Rahisi Kutumia

Ona kila kitu mahali pamoja — idadi ya wageni, RSVP, mahudhurio, michango na bajeti. Chati za moja kwa moja na ripoti za papo hapo.

  • Dashboard yenye chati na takwimu
  • Orodha ya wageni yenye rangi za hali
  • Scanner ya QR kwa kamera ya simu
  • Ripoti za Excel na PDF
  • Inafanya kazi kwa simu, tablet na kompyuta
Ingia Kwenye Mfumo
Foras Invite Dashboard

Tayari Kuandaa Sherehe ya Kifahari?

Jiunge na mamia ya wateja wanaotumia Foras Invite kufanya sherehe zao kuwa za kipekee na zilizopangwa vizuri.

Wasiliana Nasi Sasa
Mawasiliano

Tuko Tayari Kukusaidia

Una swali au unataka kuanza? Wasiliana nasi kupitia njia yoyote hapa chini.

WhatsApp / Simu+255 769 717 614
Barua Pepeinfo@foras.co.tz
MahaliDar es Salaam, Tanzania
Tovutiforas.co.tz